Gere Lyrics - Tanasha X Diamond Platnumz | MilkyLyrics
New song Gere Lyrics Tanasha X Diamond Platunmz.Hope you'll enjoy.
Descriptions
Gere Lyrics - Tanasha X Diamond Platnumz | MilkyLyrics
Singer: | Tanasha X Diamond Platnumz |
Ati Unapenda Konyi
Nikikupaa mpaka morning
Nikipekenya Pekneya
Nisiwai nichelewe
Nikikuchumu mdomoni
Tachi tachi kiunoni
Nuru natekenya tekenya
Nakufanya ulewe
...................
Ooh---
You're my sewwt chocolate most high
Sorry nuh can't ah play don't lie
And baby better write for me
And show me that yoy mine aah ooh
Amma go down tuff for you
Call you king pretty can't annoy you
And baby take your time with me
Let's flow like a river nile
Ebo Assa show me lie kitu amekupaa mama
Ebu chutama
Kama Inazama
Nikaipige chenga kwa danadana
Tuwafunge kelele ayayaa
Yaani usiku mchana
Jua ikizama
Twanze kandana
Nikuonyeshe kile amenipa mama
Tuwafunge kelele
Maana wanao
Wanaona gere
Wanaona gere(wanaona)
Wanaona gere
Wanaona gere gere gere
Wanaona gere
Wanaona gere(wanaona)
Wanaona gere
Wanaona gere gere gere
..............
Don't you ever leave me so lonely
Or disappoint me with this basic hoe
You make my mind go loko loko
Utawapaa misemo wa nokonoko
And you better tell them that you lie ah
Better be my ridder die
Kabla ya kuwika jogoo
Asubuhi niamshe na kiboko
Eeh mama kasema mwai mwana
Mpata ntuii ya simba
Oooh ntui ya simba
Oooh ntui ya simba
Zile chenga vidanga danna
Vicheche nchunie simba
Ooh nchunie simba
Ooh nchunie...
Assa baby ungu show me ile kitu amekupa mama
Ebu chutama
Kama Inazama
Nikaipige chenga kwa danadana
Tuwafunge kelele ayayaa
Yaani usiku mchana
Jua ikizama
Twanze kandana
Nikuonyeshe kile amenipa mama
Tuwafunge kelele
Maana wanao
Wanaona gere
Wanaona gere(wanaona)
Wanaona gere
Wanaona gere gere gere
Wanaona gere
Wanaona gere(wanaona)
Wanaona gere
Wanaona gere gere gere
..............
Assa baby nikomeshe kati katika(kata)
Katikati katika(kataa)
Donna Katika(kataa)
Oh Baby Katika(kataa)
When you hold down to me (kataa)
my knee(kataa)
Moving side to side baby(kataa)
Ooh kati(kataa)
...............
Add a review